Bundi bado ametua kwenye lebo ya Konde Music, ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii kutoka lebo hiyo, Angelina Samson, maarufu Angela naye kuwasilisha malalamiko Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), akidai waachane naye rasmi.
Madai ya Anjela kuachana na lebo hiyo rasmi badala ya ilivyo sasa...