Mwanga Hakika Bank (MHB), whose official name is Mwanga Hakika Bank Limited, is a commercial bank in Tanzania. It is licensed by the Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator.
CCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana kwa bei rafiki ili hata Mababu zangu kule Katerero waweze kuzimudu.
Tupia bidhaa nyingine ya CCM...
CHAMA ANAFANYA USAFI HUKO INSTAGRAM
Nyota wa Simba anayecheza Yanga kwa sababu ambazo hata yeye hazijui ameanza kufuta Picha zote alizowahi kupost akiwa na jezi ya Yanga, Kuanzia siku anatambulishwa hadi leo
Chama amebakiza Picha na Video akiwa na Jezi ya Yanga zile ambazo amepewa Colaboration...
Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,....
Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia.............
Nchi inauzwa hii....................
2025 arudi kwao kizimkazi atuachie Tanganyika yetu..............
R.I.P JPM......n.k
Ahsante sana Mungu, hakika...
Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje?
Ndipo napata jibu kuwa
"Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika"
Angeweka rekodi ya msanii wa hip hop kuchukua tuzo...
Hii mtaani tusema
"Utaoga lakini mjini huendi"
Yaani Simba atashinda dhidi ya shoga aje Tabora United ila ubingwa atausilikizia redioni
Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili muache lawama Kwa uwekezaji wa GSM na pia mmuache Mangungu na Mo wale keki Yao hapo Msimbazi
Tuna...
Kusema kweli Mkurugenzi, Meya na Madiwani mliopo Manispaa ya Morogoro Hamueleweki, Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia vichwa gani? Hivi kweli Daladala Zote zinazotoka Pembezoni ya Mji kuja kati ya mji zinakosa sehemu Rasmi ya Kupakia Abiria?
Mwanzoni walikuwa wakitumia Stand ya Zamani Mkawaondoa...
Heri ya mwaka mpya wanaJf.Ninaimani mmeupoea mwaka salama ninyi na wapendwa wenu salama.Kwa upande wangu ninamshukuru Mungu kwani amenichagua tena na si kwa kupenda kwangu bali ni katika mapenzi yake amenichagua.
Wacha niende mojakwamoja kwa kile kilichonifanya nilete uzi.Mwaka 2023 mwishoni...
Ndugu zangu salaam
Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila...
Habari za jioni ndugu na marafiki,
Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani.
Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu.
Lakini kabla ya yote...
Dalili ziko wasi kwamba TLS sasa imemshinda Mwabukusi. Kuna mpasuko mkubwa na viongozi wenzake wameanza kumkimbia.
Ukimuona Mwabukusi anavyowananga wengine, unaweza kudhani anaweza hata kujiongoza yeye mwenyewe
====
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoa wa Mwanza...
Inajulikana wazi susi waafrica hatuna tunachojua zaidi ya kupas kwa ungo na ulozi mwingi.
Nchi zetu tumeshindwa kuziendeleza mpaka Mungu anstucheka.
Nahauri tumpe nchi Elon musk au tumpe Africa yote kabisa. Tukse palee tutulie mwanaume akiwa kazini.
Nakumbuka siasa hizi za kiharakati zilianzia vyuo vikuu vijana wasomi na ma professor wahadhiri haswa wa UD na pale UDOM mambo yalikuwa moto moto sana, Mpango wa vyama vya upinzani haswa CHADEMA ulifaulu kwa 80%
Chini ya ukatibu wa Dr wa mihogo kulipatikana kina ZItto kina Juliana Shonza kina...
Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
Habari gani wakuu?
Leo nimeanza rasmi kuwekeza kwenye M-Wekeza ya Vodacom ambayo inaestmet faida ya takribani 13% kwa mwaka na nimepanga kutenga kila 10% ya pesa yyte itakayoingia kwenye Mpesa yangu.
Kiukweli kwa hili tuna kila sababu ya kuwapa kongole Vodacom mana tunaweza kuwekeza kuanzia...
Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM na wagombea wake ushindi wa aibu hata kwa gharama za maisha ya Watanzania.
Tunalaani mauaji na...
Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya
Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya kuchangamana na kubadilishana mawazo kwa Wananchi. Mikutano kama hii inaleta furaha na umoja kwa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.