Unapobaini kuwa Taarifa uliyokutana nayo Si ya Kweli, epuka kuisambaza kwa wengine kwani inaweza kuwa chanzo cha Migogoro na Taharuki katika Jamii.
Zuia Taarifa Potofu kwa kufanya Uthibitishaji wa kila Taarifa unayokutana nayo ili kuchochea uwepo wa Taarifa Sahihi wakati wote.
Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati.
Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa...
Wakati mwingine Mtazamo, Hisia au Itikadi juu ya jambo huweza kuathiri maamuzi wakati wa kutafuta Ukweli wa jambo.
Unapofanya Uhakiki wa Taarifa yakupasa udhibiti Hisia, usiwe na Upande au Mtazamo wako ili uweze kupata majibu sahihi juu ya Uhalisia wa Taarifa Unayohakiki
Pia soma:Yoon Suk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.