hakimu mkazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo. Shauri Na.993 la mwaka 2025 lilidai Dkt. Slaa ameshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia ukurasa wa X...
  2. Roving Journalist

    TFF yaiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuiondoa kesi ya Liston Katabazi Mahakamani

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuiondoa Mahakamani kesi ya Madai Namba 14708 ya 2024 iliyofunguliwa na Kocha Liston Katabazi ambaye anaidai fidia ya Shilingi 700,000,000 kutokana na TFF kuchapisha taarifa ya kufungiwa maisha...
  3. BARD AI

    Maafisa wa Posta Tanzania wakutwa na kesi ya kujibu kuhusu kusafirisha Dawa za Kulevya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu, maofisa watatu wa ulinzi wa Shirika la Posta Tanzania, wanaokabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine na bangi. Maofisa hao ni George Mwamgabe, Sima Ngaiza na dereva wa Shirika hilo Abdulrahman Msimu. Washtakiwa...
  4. Boss la DP World

    Mtwara: TAKUKURU Yamfikisha Mahakamani Hakimu Mkazi, Mussa Esanju kwa Tuhuma za Kupokea Rushwa

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara, imemfikisha Mahakamani, Hakimu Mkazi wa Mtwara, Mussa Esanju kwa tuhuma za kupokea rushwa ya kiasi cha Sh. 50,000 kutoka kwa Mtuhumiwa mmoja aliyefikishwa mbele yake. Hakimu Mussa amefikishwa Mahakamani na kusomewa makosa...
Back
Top Bottom