Rais wa Mpito, Jenerali Oligui Nguema amepiga marufuku maafisa wa serikali wa nchi hiyo kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya likizo. Pia ameweka ukomo wa likizo kwa muda usiozidi wiki moja kwa maafisa hao wa serikali
Msemaji wa Serikali ya Mpito alifafanua kuwa maamuzi haya yanalenga kuhamasisha...