hakuna maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. lord commander

    Katikati ya mapambano dhidi ya Kipindupindu jijini Mbeya, hakuna maji

    Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA. Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii...
  2. A

    KERO Wakazi wa Nyang'homango Usagara Mwanza hakuna maji safi ya bomba tangu uhuru

    Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo. Watu...
  3. N

    KERO Kuna mgawo mkali wa maji unaoendelea kimyakimya jijini Dar, Waziri Aweso unafahamu hili?

    Jiji la Dar es salaam linapitia mgawo mkali wa maji unaoendeshwa kimyakimya huku ukitesa watu wengi. Mathalani, katika uchunguzi wangu kupitia ndugu zangu wanaoishi maeneo mbalimbali ya jiji hili nimebaini maeneo yote ya Kimara, Ubungo, Mbezi, Gongo la Mboto, Kinyerezi, Tabata, Bonyokwa...
Back
Top Bottom