Jiji la Dar es salaam linapitia mgawo mkali wa maji unaoendeshwa kimyakimya huku ukitesa watu wengi.
Mathalani, katika uchunguzi wangu kupitia ndugu zangu wanaoishi maeneo mbalimbali ya jiji hili nimebaini maeneo yote ya Kimara, Ubungo, Mbezi, Gongo la Mboto, Kinyerezi, Tabata, Bonyokwa...