Anayekwambia ukweli, jua anataka upone. Maisha yetu yameandamwa sana na siasa kiasi kwamba sasa hata vitabu vya dini tunavipiga teke. Ndiyo! Tunataka kila mtu apewe usawa, watu wote wawe sawa kwenye nyanja mbalimbali.
Lakini ukweli ni kwamba, anguko kubwa la mwanaume linaanzia kwa mwanamke...