Aisha alikuwa na ndoto kubwa—kumaliza thesis yake kwa wakati na kupata alama za juu. Alikuwa na mawazo mengi kichwani:
"Nitapataje reliable sources?
Literature review itanichukua muda gani?
Data analysis ni ngumu!
Naanza wapi?"
Wiki zilipita, akijaribu kusoma makala mbalimbali, kuandika...