Habari zenu,
Kuna siku nilipost humu natoka harufu mbaya hadi mke wangu anasema ya kizee. Baada ya uchunguzi wa kina nimegundua ni sehemu za siri yaani kuanzia kwenye korodani na pembeni yake hizi kona za mapaja wa kike wangesema mstari wa chupi unapopita kutenganisha kinena na paja, nimetaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.