Waziri wa Ujenzi Mh. Innocent Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho sambamba na kuongezwa kwa muda wa kutoa huduma ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya Kigamboni.
Hata hivyo, mmoja wa wakazi wa Kigamboni Bw. Ballu Abdul amemueleza Waziri Bashungwa...
Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana
Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua
Boti za Zanzibar na meli kubwa zikipita mawimbi yanakuwa makubwa mno yanaweza kufunika hii mitumbwi
Tusadie kupaza sauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.