Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana
Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua
Boti za Zanzibar na meli kubwa zikipita mawimbi yanakuwa makubwa mno yanaweza kufunika hii mitumbwi
Tusadie kupaza sauti...