Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema kuwa kwa tathmini waliyoifanya viongozi wa dini katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, amani na usalama vimepewa kipaumbele.
Amesema viongozi wa dini...