Mimi si mpenzi sana wa kuanzisha mada kwenye mitandao ila huwa nacomment kwenye mada hasa za mpira nakupita ila kuna hili la hali ya ajira nchini tunapoelekea nchi yetu itakuwa ya ajabu sana na kazi nyingi zitafanyika bila weledi na taifa litazidi kuwa na jobless na vijana wengi wa ovyo mtaani...