hali ya dharura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais wa Ushelsheli atangaza hali ya dharura kufuatia mafuriko na mlipuko

    Rais Wavel Ramkalawan wa Ushelsheli ametangaza hali ya tahadhari Alhamisi, akiwaamuru raia wote isipokuwa wafanyakazi muhimu kubaki nyumbani, baada ya mlipuko katika duka moja la vilipuzi na mafuriko kutokana na mvua kubwa. Taarifa ya Ikulu mjini Victoria, imetolewa kufuatia mlipuko mkubwa...
  2. Chad yatangaza hali ya dharura kutokana na uhaba wa chakula

    Serikali Nchini humo imesema imetangaza Dharura kutokana na Mwenendo wa Hali na Chakula na Lishe kuzorota, hivyo kuweka hatarini Maisha ya Watu ikiwa watakosa misaada ya kibinadamu. Umoja wa Mataifa (UN) umeonya kuwa watu Milioni 5.5 katika Taifa hilo watahitaji msaada wa kibinadamu mwaka 2022...
  3. Ecuador yatangaza hali ya dharura kutokana na uhalifu wa magenge

    Rais Guillermo Lasso ametangaza Hali ya Dharura ya siku 60 katika Majimbo matatu kutokana na ongezeko la matukio ya uhalifu. Ecuador imeshuhudia ongezeko kubwa la mauaji na uhalifu unaohusiana na magenge Rais Lasso amesema amri ya kutotoka nje itawekwa na maelfu ya Wanajeshi na Maafisa wa...
  4. Ethiopia kuondoa Hali ya Dharura iliyowekwa baada ya Vikosi vya Tigray kutishia kwenda Addis Ababa

    Serikali imeridhia kuondolewa Hali ya Dharura ya miezi sita iliyowekwa Novemba 2021 baada ya Vikosi kutoka Tigray kusema vilikuwa vinaelekea Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa Mwezi Desemba, Mamlaka zilisema Jeshi lilikuwa linaondoa Vikosi vya Tigray katika Mikoa ya Amhara na Afar. Waziri Mkuu...
  5. Somalia yatangaza hali ya dharura kutokana na ukame

    Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble ametangaza Hali ya Dharura kutokana na Ukame mbaya, akiwataka Wananchi na Jumuiya ya Kimataifa kusaidia wahanga. Ukame mbaya umeripotiwa sehemu kadhaa Nchini Somalia, na vifo vya watu panoja na mifugo vimeripotiwa. Takriban Raia Milioni 3.5 tayari...
  6. #COVID19 Japan kutangaza hali ya dharura Jijini Tokyo kutokana na janga la COVID-19

    Japan inatarajiwa kutangaza Hali ya Dharura Jijini Tokyo ili kukabiliana na wimbi la Virusi vya Corona. Michuano ya Olimpiki imepangwa kuanza Julai 23, 2021 na itafanyika kwa wiki mbili Uamuzi wa kutangaza Hali ya Dharura unakuja baada ya ongezeko la visa. Kwa wiki kadhaa Wataalamu wa Afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…