Kwa namna ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ilivyotekelezwa kikamilifu na kwa ufanisi wa zaidi ya 98%,
Ni wazi imani na kuaminika kwa serikali sikivu ya CCM kwa wananchi inaweza kua ni zaidi ya 100%, na hiyo itamaanisha na kuashiria kwamba, CCM inaweza kushinda uchaguzi mkuu wa October...
1. Ikiwa Bunge, Mahakama, vyombo vya ulinzi na usalama na kila kitu vipo mikononi mwa mtu mmoja:
Je, kuna demokrasia hapo?
Je, kuna haki hapo?
Kwa kifupi, ni kwamba kama mchakato mzima wa uchaguzi utaendelea kuratibiwa na wateule wa Rais, watendaji wa serikali na waajiriwa wa serikali iliyopo...