Huwezi kuamini muda huu upo kazini kuna mtu mzima kabisa na meno 32 limekaa linapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi.
Afrika ukiwa ni lijinga lisiloheshimu kipato chako, unapata marafiki wengi sana lakini ukiamua kuwa na nidhamu kwa kila senti yako, wanasema ni...
Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
Ukiangalia awamu ya tano na ya Sita kumekuwa na mzunguko hafifu wa fedha kwa wananchi... Pesa imepotea.
Ukilinganisha na awamu ya nne kurudi Nyuma inaonekana mzunguko wa pesa ulikuwa mkubwa mno(pesa ilikuepo).
Nimetafakari na kujiuliza maswali; "inawezekana awamu ya nne kurudi Nyuma tulikua na...
Habari za mchana marafiki zangu wa Faida njoo UFUNGUKE Ka Kero kanakokupa WAKATI MGUMU katika harakati zako za kila siku
Mimi kwakweli Nina KINYAA SANA mwepesi mno kutapika sasa kitu kinachonipa WAKATI MGUMU nikawa harakati njaa ikauma nikaona nitafute genge au mgahawa nikikuta wahudumu na...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.
Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika.
Usiondoke JF kwa vile kuna mengi...
Wana MMU,
Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha yako yameshikiliwa na ki uzi chembamba tu kiasi kwamba upepo ukipiga kidogo tu umekwenda.
Wengine...
Ndivyo nitakavyofanya kama chama changu ccm kikiniteua na nikashinda uchaguzi huko tuendako.
1. Siasa itakua sio ajira Tena Bali kipimo Cha uzalendo kama jeshi letu lilivyo sio ajira na siasa itakua hivyo hivyo!yaani mtu hatoingia siasani kutajirika kama ilivyo Sasa Hilo msahau,ukitaka utajiri...
"Watanzania hawana pesa mfukoni, Watanzania hawana pesa ya kununua, watu hawawezi kuendesha maisha, wachumi watakuwa wananielewa (mimi sio mchumi) nimesoma mahali hali ya mtu kuwa na mahitaji lakini hana pesa na naliongelea kwa sababu ni Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ambayo inaratibu...
Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.
Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.
Hali ni ngumu sana.
Walevi wa pombe kali wanajifariji
Kwa wenyeji na ambao wameshafika Maeneo hayo, Mimi ni Mwalimu Niko kigoma miaka 25 Sasa, nimepata mtu wa Kubadilishana nae mmoja kanitafuta yupo kondoa dc kata ya hondomairo Mwingine yupo bumbuli (mbelei)...
huko Mimi sio mwenyeji Lakini kwa mazingira ya huku kigoma naona ni changamoto...
Maisha ya mwafrika kama ambavyo yalivyo maisha ya jamii nyingine duniani yamepitia zama mbalimbali muhimu. Kuanzia zama za chini kabisa za maendeleo mpaka hii ya leo aliyomo, hizo zote ni muhimu kwa mtu kujifunza na kukua.
Jambo lililowazi na muhimu, katika zama zote hizi, ni 'Kukua'. Hii...
Hali ya maisha imekuwa tete sana.
Mchele
Maharagwe.
Mafuta.
Unga
Havinunuliki. Viongozi amkeni msimuharibie mama.
Hali mbaya wengine wakichota billions
Habarini wanajukwaa.
Kwa namna hali ilivyo katika nchi yetu imekua ni changamoto Sana kwa mtu kuanza "from Zero to Hero" Jambo linalofanya watu wengi wanao hustle kuamini kuwa mazingira si rafiki kwa wao kufanikiwa yaani kuwa self-made Billionaires ukiwatoa wale talented people ambao kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.