Vijana mumeitikisa nchi ikatikisika, mumenikumbusha enzi zetu wakati tulikua tunapigania demokrasia ya vyama viwili, na pia enzi za katiba mpya, ni faraja sana kujua nchi bado iko salama na kwamba hatokuja chizi yeyote na kuharibu tuliyoyapigania, na kwamba mkiitwa mnaitika na kujitokeza nchi...
Rais Dkt. Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa
Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi
Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi...
Wakenya wanazidi kupaa kwenye vyombo vya habari kimataifa njinsi walivopinga kuhusu ongezeko la ushuru(tax) na matokeo yanaweza kuwa mazuri.
Wenzetu wana umoja sana hakuna uchawa wa kusifia sijui shangazi wa mbagara matitu.
Huku kwetu tulishatishiwa tukimbilie Burundi au kuwaishwa fasta kabla...
haliyauchumikenyahaliyauchumi tanzania
kodi kenya
maandamanano kenya
muswada wa sheria ya fedha kenya
siasa kenya
siasa tanzania
uchumikenya
uhuru wa kuandamana
uhuru wa kutoa maoni
1/7/2024
Vifo vinavyotokana na maandamano ya kushinikiza Rais Ruto aachie ngazi vyafikia 26, baada ya watu wawili zaidi kutokana na majeraha
Kevin Madanga (22) ambaye alipigwa risasi 3 wiki iliyopita amefia Nakuru na Daniel Kakai (17) mwanafunzi kutoka Bungoma aliyepigwa risasi Alhamisi...