hali ya uchumi tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    Maafisa TRA wachunguzwe mali wanazozimiliki na vyanzo vya mapato yao kama vinaendana

    Taasisi nyeti kama hii haziwezi kuongozwa na wahalifu. Vijana wanatumia Sheria mbovu za Kodi kujitajirisha na kuleta adha kubwa kwa uchumi wa nchi na wafanya biashara. Kulingana na maoni ya watu wengi maafisa wa TRA wamekuwa wakikadiria Kodi kubwa wafanyabiashara nje ya utaratibu ili...
  2. peno hasegawa

    Ukipinga Kodi kwa kufunga duka unamkomoa nani? Tujifunze kwa Wakenya

    Ninaendelea kumsikiza! "Yaani sisi Tanzania tunapinga kodi kwa kufunga maduka, wakati wenzetu Kenya wameandamana. Ukifunga duka unamkomoa nani? Usifikiri kwamba unaikomoa serikali, sababu wataendelea kukusanya makato ya mikipo mliyochukua. "Serikali haikomoleki, andamaneni mdai haki zenu...
  3. Nyankurungu2020

    Treni ya SGR imekuja kukomboa au kudidimiza wananchi? Hayati Magufuli asingekubali nauli hizi

    Nini maana ya kuwa na shirika la umma? Dar-Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20? Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwanini nauli ziwe juu? ===== Kufahamu zaidi nauli za maeneo mengine soma: Thread 'Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh...
  4. Jidu La Mabambasi

    Tetesi: Balozi za nchi zenye uwekezaji mkubwa nchini zatishia kusimamisha miradi, inadaiwa TRA inawabambikia kodi kubwa zisizolipika

    Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao. Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na...
  5. Kaka yake shetani

    Wakenya wakifanikiwa kwenye maandamano yao basi watatuona Watanzania wajinga sana kwenye nchi yetu

    Wakenya wanazidi kupaa kwenye vyombo vya habari kimataifa njinsi walivopinga kuhusu ongezeko la ushuru(tax) na matokeo yanaweza kuwa mazuri. Wenzetu wana umoja sana hakuna uchawa wa kusifia sijui shangazi wa mbagara matitu. Huku kwetu tulishatishiwa tukimbilie Burundi au kuwaishwa fasta kabla...
  6. Cute Wife

    Serikali yaandaa Mkutano wa Siku 3 kwa Wadau kutoa Maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2024

    Wakuu, tukashiriki kutoa maoni, majirani wameikataa yao na mpaka sasa wapo kwenye maandamano. Tuchukue somo kwao, kama hatujailewa basi na ijulikane. Nimeambatisha Muswado huo hapo chini kwaajili ya mapitio. TAARIFA KWA UMMA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepanga kupokea maoni ya...
  7. K

    Thamani ya shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka. Tunaelekea wapi?

    Kila kukicha shillingi ya Tanzania inazidi kuporomoka huku tuna Waziri wa Fedha mahiri, tuna Gavana wa Benki mahiri na wachumi mahiri. Leo fedha ya Tanzania inabadilishwa kwa Tshs. 2,675 kwa dollar moja kutoka Tshs.2,300 miezi michache iliyopita. Siku za karibuni fedha ya Tanzani ilikuwa...
  8. covid 19

    Ukifikiria vizuri kabisa na kwa utulivu utagundua sababu kuu ya umasikini Tanzania na Afrika ni ukosefu wa maadili na uzembe

    Ukosefu wa maadili na uzembe kwa watumishi wa umma na wananchi ni tatizo kubwa ambalo limechangia na linaendelea kuchangia umasikini nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Tatizo hili lina mizizi yake katika malezi na mazingira ya kijamii ambayo watumishi hawa wanakulia. Mfano mmoja ni ufisadi...
  9. Pfizer

    Ufafanuzi kuhusu Gawio la Tsh. Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali

    Ufafanuzi kuhusu Gawio ka TSH. Bilioni 153.9 lililoyolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali. Katika Mitandao ya Kijamii na makundi sogozi, zinasambaa taarifa potofu kuhusu uhalisia wa Gawio la Shilingi Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari...
  10. Etwege

    Rais Samia unadanganywa, DP World hajaleta tija yoyote kwenye Bandari ya Dar es Salaam

    Maswali chechefu: 1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja? 2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa...
  11. The Sunk Cost Fallacy 2

    Prof. Mkumbo: Deni la Taifa lafikia Trilioni 91.7

    Akisoma taarifa ya Hali ya Uchumi wa Nchi kwa mwaka 2023/24 na matarajio ya 2024/25 Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema, hadi mwezi machine deni la Serikali limefikia takribani Shilingi Trilioni 91.7. Deni hilo linajumuiaha deni la ndani na deni la nje. Amesema ongezeko...
  12. The Sunk Cost Fallacy 2

    Rais Samia: Waliosema nimeuza Bandari na Bahari faida yake ndio hii

    My Take Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele. ======= Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imevunja rekodi kwa kutoa jumla ya Shilingi za Kitanzania 153.9 Bln kama gawio kwa Serikali kuu kwa mwaka wa fedha Mwaka 2023/2024. Gawio...
  13. Mwande na Mndewa

    10% ya mikopo ya nchi yetu huwa anachukua nani?

    Wakristo wa Ulaya walitusamehe nusu ya deni la taifa mwaka 2000, ila hivi sasa tunaelekea kuvunja rekodi ya kukopa kama vile nchi inaisha kesho. Tukumbuke tuna watoto na wajukuu watakaohitaji kuishi katika nchi hii. Mikopo tunayokopa leo huku Waziri wa Fedha akitabasamu akiwa na afya tele...
  14. Cash Generating Unit

    Serikali hutumia Tsh. Billion 558 kununua magari kwa mwaka

    Unaweza usiamini ila ndo pesa za sisi walipa kodi zinapotea huku hapo bado kufanyiwa service, mafuta na takataka zingine. Piga hesabu ndani ya miaka 10 pesa ngapi inapotea? Kwa dizaini hii tutaacha kukopa?? Juzi hapa Waziri wenu wa Fedha kanunua gari ya 800 milioni. Inasikitisha sana kuona...
Back
Top Bottom