MJUMBE HAUWAWI.
Nimepitia comment kwenye hii post.
Wanaume wanamalalamiko mengi sana yenye tiija juu ya hoja hii.
Swali likanijia, je anaweza kufika Moshi na asifike kileleni?
Nikaendelea kusoma Comment, nanukuu mbili.
"Mwanamke ukianza naye anakuwa msafi na wa maana sana, muoe sasa...