Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana leo Dar es salaam katika kikao chake cha kawaida cha siku mbili.
Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na kupokea;
1. Taarifa ya hali ya usalama nchini.
2. Kufanya usaili na kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali za...