Bila kuungana na vyama vingine dhidi ya CCM madhubuti sana kwa sasa, watapata aibu kubwa sana kwa kushindwa kwa fedheha sana, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, kakini pia watashindwa vibaya mno uchaguzi mkuu2025.
Kama hiyo haitoshi, ubinafsi, kutokuaminiana, uchu na...