Halima Xudoyberdiyeva (Cyrillic Ҳалима Худойбердиева; pronounced [halima χudɒjberd̪iˈjeβa]; 17 May 1947 – 17 August 2018) was an Uzbek poet whose themes at different times of her career have dealt with Uzbek nationhood and history, liberation movements, and feminism. She was awarded the title People's Poet of Uzbekistan.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akifurahi jambo na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Halima Mdee Jijini Dodoma leo tarehe 26 Januari, 2025.
Nimemuona Lissu anawashambulia sana akina Halima Mdee na wenzake badala ya kutengeneza Mazingira rafiki ya kurudisha wale Viongozi ambao CHADEMA imetumia muda wake mwingi kuwaandaa, na hasa ukichukulia toka wameisaliti hawajawahi kuisema vibaya Taasisi wala Viongozi wao.
Uongozi siyo Sheria tu...
Kiongozi wa baadhi ya wabunge 19 kutoka chama cha demokrasia na maendeleo Chadema Halima Mdee ametuma emoj ya kucheka baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kusema wanatakiwa kueleza nani alisaini mchakato wa wao kuingia bungeni huku akisema yupo tayari kuwapokea wabunge hao .
Kauli ya...
Moja wapo ya mambo ambayo nilitamani kuyaona katika uchaguzi huu, ni kuona wanawake nao wanashinda katika nafasi walizawania.
Hongera sana na kafanye kazi haswa kwenye mtaa wako!
================
Katika mtaa wa Kisabuje Halima Mdathiru ameshinda nafasi ya mwenyekiti wa mtaa, ameeleza namna...
Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea hadi Novemba 8, 2024, amesema mapato Tsh. Bilioni 61.15 hayakukusanywa katika vyanzo muhimu
Amesema...
Ukiangalia account zote za wapinzani utakuta picha ya Free nani, Free nani, kwa Mdee yeye kwake picha za simba na Yanga.
Naamini 100% mdee hata akisamehewa basi ni kujidanganya, moyo haupo kabisa upizani.
bora tu uwende CCM ukamlizie siasa zako, maana CCM tupo wengi kwenye foleni tunataka nafasi
Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea, atajikuta anapokea kichapo kisichokuwa na huruma kama Paka shume aliyekunya kwenye debe la Unga wa uwele...
Kwanza kabisa nikupongeze Mhe. Halima Mdee wewe ni jembe. Leo umemfanya Mwigulu - Waziri wa Fedha, Bashungwa - Waziri wa Ujenzi na Mbarawa - Waziri wa Uchukuzi. Leo umewafanya waonekane si chochote mbele ya hoja yako. You have reduced them to nothing. Hakika wamepwaya. Nije kwenye mada. Mhe...
Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa.
Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao...
Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka.
Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.
Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza...
MNEC HALIMA MAMUYA: NENDENI MKAHAKIKISHE CCM INASHINDA
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mlezi wa Mkoa wa #Njombe Halima Mohammed Mamuya amewataka wanachama wa chama hicho kuwa na kuendeleza umoja na ushirikiano ili kuendelea kushinda katika uchaguzi...
Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
---
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa...
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) limemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa viti maalum wanaodaiwa kuwa wanachama wa CHADEMA, kinyume chake Baraza hilo limetishia kuwahamasisha wanawake Nchini...
Mwandishi: Kusaidia kwenye hii janga, sijui ungependa kutuambiaje?
Gwajima: Kwanza hii hali ni hali ya kusikitisha sana, ni hali ya hatari, mbaya na hali ya kuhuzunisha kwelikweli na mimi hata siamini mtu anaweza kuruhusu wananchi, binadamu wakawa na hali ya maisha hii.
Kwa miaka kumi na...
Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru
Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la...
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.