Ni kuhusu madai ya Mdee na wenzake kurejea CHADEMA ambapo Boniface Jacob kuptia Mtandao wa X, kaandika hivi:
SIYO RAHISI NA HAIWEZEKANI KUWA JAMBO LA SIRI...!
Nimeona mjadala wa kuhusu kurejea kwa Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama wa CHADEMA Kurejea tena ndani ya CHADEMA.
lakini katika hali...