Awali ya yote, napenda kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kunifikisha siku hii ya leo na pia sitakuwa mtenda haki bila kuwashukuru waanzilishi wa forum hii. Baada ya kusema hayo machache, ningependa kukushukuru na wewe unaetumia gharama zako kusoma uzi wangu, huenda kuna mabadiliko...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayoonyesha kuwa huenda mwisho wa dunia unakaribia Mabinti wengi nchini Kenya wanatumia Kinywaji cha Coca Cola na Limao kuzuia Mimba pindi tu wamalizapo kufanya Ngono ( Kuzini )
" Tukimaliza tu kufanya Ngono haraka sana huwa tunawahi Bafuni na kujimwagia...
1. Je ni hizo huduma hapo ☝️ au ni upya wa basi?
2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya?
Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia luxury abiria anasaidiwaje au achukue hatua gani?.
SUMATRA wanatumia kigezo gani kugawa haya...
Wanangu hamjamboni? Leo tujikumbushe mambo ya kizamani kidogo hasa wapenzi wa reggae kama mimi baba yenu. Japo marehemu Bob Marley aliufanya wimbo wa buffalo soldier maarufu, mtunzi wake ni Giddes Chalamanda toka Malawi. SIkiliza hiyo kitu utajua na kuamini ninachowambia baba yenu.
Kuna wanaosema Mheshimiwa Rais angalau angesubiri mpaka apewe uenyekiti wa Chama ndio aongee kwa mamlaka na kuwakaripia wote wanajaribu kumfanyia fitina za chini kwa chini.
Wanaona kama vile maamuzi yake ya kulihutubia bunge yameongozwa na jazba zaidi kutaka kuwaonyesha mamlaka aliyonayo hao...
Habari wanajamii forums,
Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata kwa bei gani ambayo ni halali kabisa.
Ahsanteni.
Kauli ya Msemaji Mtibwa Sugar..
" Sina Malalamiko au Lawama zozote kwa Kipigo hiki Kikubwa kutoka Simba SC kwani tusidanganyane kwa sasa Tanzania, Afrika Mashariki na hata Afrika hakuna Timu nzuri na ya Kiushandani na iliyoenea kila Idara kama Simba SC "
Kauli ya Kaimu Kocha Barnabas..
"...