♦️Binadamu ni viumbe wa ajabu sana. Watu wakikuona una uwezo wa kufanya jambo fulani, au pengine wewe ni miongoni mwa watu ambao una ushawishi fulani kwenye Jamii, watataka kukutumia ili kufanikisha mambo yao, na baada ya kufanikisha hayo mambo yao wewe uliekua nyuma ya hayo mafanikio yao kamwe...