halmashauri kuu ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CM 1774858

    Pre GE2025 VIDEO: Ona Vikao vya CCM vinavyoendeshwa utapenda

    == Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati kuu pamoja na Halmashauri kuu ya CCM , Jijini Dodoma.
  2. Ojuolegbha

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuketi leo jijini Dodoma

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuketi leo jijini Dodoma, 05:00 asubuhi leo tarehe 10 Machi, 2025 mjini Dodoma.
  3. J

    Pre GE2025 DODOMA: Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM

    Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan. ===
  4. Mindyou

    Pre GE2025 Mjumbe Halmashauri ya Kuu CCM: Vijana wa CCM wanaowatukana viongozi kwenye magroup ya Whatsap hatutawapa nafasi za uongozi

    Wakuu, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Mkoa wa Geita, Evarist Gerves, amekemea vikali tabia ya baadhi ya vijana wa chama hicho kuwatusi viongozi na watu wanaotangaza nia ya kugombea kwenye uchaguzi mkuu kupitia makundi ya WhatsApp. Alisema tabia hiyo ni kinyume cha maadili ya CCM...
  5. Ojuolegbha

    Rais Mwinyi aendesha Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA 📍 Kisiwandui Zanzibar 🗓️24 Juni 2024 Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) akiwa na Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter kunambi (MNEC) wakiwa katika kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. Kikao...
Back
Top Bottom