Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.
===
Wakuu,
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Mkoa wa Geita, Evarist Gerves, amekemea vikali tabia ya baadhi ya vijana wa chama hicho kuwatusi viongozi na watu wanaotangaza nia ya kugombea kwenye uchaguzi mkuu kupitia makundi ya WhatsApp.
Alisema tabia hiyo ni kinyume cha maadili ya CCM...
KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
📍 Kisiwandui Zanzibar
🗓️24 Juni 2024
Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) akiwa na Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter kunambi (MNEC) wakiwa katika kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Kikao...