halmashauri kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  2. J

    PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  3. J

    Pre GE2025 DODOMA: Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM

    Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan. ===
  4. U

    Dkt Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
  5. Hotuba ya Dorothy Semu katika Kikao cha Halmashauri Kuu Taifa ya ACT Wazalendo, Agosti 25, 2024

    Taifa la wote, Maslahi kwa wote! Zanzibar Mpya, Zanzibar Moja Mamlaka kamili. Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasihii adhimu ya kukutana nanyi kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya kwanza tangu chama chetu kipateuongozi mpya baada ya Uchaguzi Mkuu Machi mwaka2024. Kwa heshima...
  6. Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  7. Shemsa Mohammed Aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ndg Shamsa Mohammed ameongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu na kujadili Mambo Makuu yafuatayo: 1. Utekelezaji wa Sera za CCM: Halmashauri Kuu ilijadili jinsi ya kuhakikisha sera za Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinatekelezwa kikamilifu kwenye...
  8. B

    Rais Samia aongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Juni 30, 2024

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichokutana jijini Dar Es Salaam leo tarehe 30 Juni 2024. CCM Imara Vitendo Vina Sauti Tunaendelea na Mama Kazi Iendelee
  9. Heri ya Sikukuu ya Pasaka mwanafamilia wa JF

    licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JF🌹 ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso, nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa...
  10. Je, Makonda kuteuliwa kama mkuu wa mkoa kutoka kuwa katibu wa halmashauri kuu CCM taifa (itikadi na uenezi) amepanda cheo ama ameshuka?

    Baada ya Makonda kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha leo hii, kumeibuka maswali na mijadala mbalimbali ikiwemo, Je amepanda cheo ama ameshuka?. Hapa nitajitahidi kieleza kadiri ya ninavyo fahamu. Ipo hivi, katika mfumo wa utawala wa Tanzania, Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Rais katika mkoa na...
  11. Zitto Kabwe anahutubia Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama, Februari 12, 2024

    Chama cha ACT Wazalendo kinafanya kikao chake cha kikatiba cha Halmashauri Kuu ya Chama, leo Februari 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu wa Hakainde Hichilema uliopo katika ofisi za Makao Mkuu ya Chama, Magomeni Dar es Salaam. Taarifa ya ACT imeeleza kuwa Halmashauri Kuu inafanyika kwa...
  12. Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makandokando na kujenga mshikamano

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makando kando na kujenga mshikamano kuakikisha CCM inashika dola. MNEC Khamis Hamza Chilo alisema hayo kata ya Ilala katika mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya chama...
  13. Kamati Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti Samia yaridhia Daniel Chongolo kujiuzulu Ukatibu Mkuu

    Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo tarehe 29 Novemba, 2023 Jijini Dar es salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kimeridhia kujiuzulu kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa...
  14. Jokate Mwegelo ateuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Katika kikao...
  15. Moshi: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM adaiwa kuwatapeli Vijana waliotaka connection za ajira Serikalini

    Hii ni video ya mmoja wa waathirika akisimulia mkasa huo. Kama ni kweli TAKUKURU fanyeni kazi yenu kwa watoaji na wapokeaji https://youtu.be/0FShyxkzsLY?si=ZnTW2Uee3bRbNQks
  16. Ujumbe wa mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu haupaswi kupuuzwa

    Ujumbe Mahususi wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma,Ndugu Ngozi kwa wenye akili unapaswa kubebwa kwa uzito mkubwa!Ujumbe huu unakuja baada ya Mh Ngozi kutokea kwenye Vikao vya CCM ambayo vilikuwa vinaendelea Jijini Dodoma mpaka jana...
  17. Ijue Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Wajumbe wake

    Leo katika kujifunza masuala ya siasa, ningepeda kuwaelezea kuhusu NEC ya CCM. Kuna watu wengi hawaijui na hawawajui wajumbe wake. Baada ya marekebisho madogo ya katiba ya CCM kumekuwa na ongezeko la viti. Ngoja nianze kulingana na KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...
  18. UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    HAWA HAPA KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  19. J

    Kamati Kuu ya CCM yaielekeza Serikali kuchukua hatua kuhusu maoni ya TOZO

    Serikali na Mabenki mezani kujadili Makali ya Tozo --- "Rais Samia Suluhu Hassani kwenye Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 ametenga Sh954 bilioni sawa na asilimia 224 ya bajeti yetu jambo ambalo halijawai kutokea katika historia ya nchi yetu, fedha hizo katika bajeti zimeelekezwa katika kutoa...
  20. B

    Mpina ajitosa kuwania Ujumbe Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia kundi la Viti 15 Tanzania Bara. Mpina amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Agosti 10, 2022 ikiwa ni siku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…