Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Februari 25, 2025 ,amezindua rasmi Jengo la Halmashauri ya Mji wa Handeni huku akisisitiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma kote nchini.
Rais Samia amewataka watumishi wa halmashauri kuzingatia majukumu...