Kuna mambo ya sintofahamu katika wilaya hii ya Mkuranga. Sehemu ya Stendi halmashauri inadai tulipe kodi ya pango kwa zaidi ya asilimia 10 tunayoipata kupita vibanda, pia wametoa mikataba ambayo watu hatuelewi wakidai kwamba tunataliwa tulipe elfu 40 kodi ya kibanda na wakati kibanda ni changu...