halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Necta, Kidato Cha pili na nne tafadhali toeni halmashauri bora nchini 2022

    Nakumbushia tu. Hii inamaana kubwa Kwa taifa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi ambacho kina uwezo wa kusindika wastani wa lita 10,000 kwa saa. Akizungumza baada ya kuzindua kiwanda hicho ambacho uwekezaji wake umegharimu shilingi milioni...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti kuhusu migogoro ya viongozi wa halmashauri na mgongano wa madaraka unaosababisha kushuka kwa shughuli za maendeleo

    1.Summary Katika ngazi ya wilaya, kuna viongozi wanne wazito. Mkuu wa wilaya, mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri na Mbunge. Na mara nyingi Kumekuwa na Mikanganyiko ya kutofautisha nafasi hizi na umuhimu wa kila mmoja katika nafasi yake. Daima swali linakuwa ni nani kati yao mwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Ijue Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Wajumbe wake

    Leo katika kujifunza masuala ya siasa, ningepeda kuwaelezea kuhusu NEC ya CCM. Kuna watu wengi hawaijui na hawawajui wajumbe wake. Baada ya marekebisho madogo ya katiba ya CCM kumekuwa na ongezeko la viti. Ngoja nianze kulingana na KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, Halmashauri ya Jiji mnataka kutuletea kipindupindu wakazi tunaoishi karibu na Soko la Mbogamboga la Ilala? Njooni mzoe taka zenu

    Habari zenu! Jana wakati narudi zangu nyumbani usiku nikakatisha mtaa wa Nzasa unapokutana na Mtaa wa Morogoro hapa ilala ,jijini dar-es-salaam nikakutana na rundo la takataka .Ni muda takribani wiki sasa halmashauri ya jiji imeshindwa kazi ya kulifanyia usafi soko kuu la mbogamboga la ilala...
  6. JamiiForums Tanzania UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    HAWA HAPA KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  7. T

    JamiiForums Tanzania AIBU: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam walipeni wafanya usafi wa Soko la Ilala, hali ya soko ni mbaya

    Habari zenu wakuu! Siku ya jana nilifanikiwa kupita mitaa ya Soko la ILALA, jijini Dar-es -salaam,maarufu kwa uuzaji wa mbogamboga na matunda. Nilikuta hali ya usafi wa soko hilo ni mbaya kabisa kiasi kuhatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za matunda na mboga mboga. Yapata miezi...
  8. JamiiForums Tanzania Ufisadi, Rushwa na Upigaji unaotokea katika Halmashauri zetu hauwakeri wengine?

    Habari za mchana kwa kila mmoja! Tumekuwa tukisikia PM Kassim Majaliwa akiwahoji watu mbali mbali juu ya upigaji katika maeneo tofauti aliofanya ziara. Mifano: 1. Alipofanya ziara katika halmashauri ya jiji la DSM alihoji juu ya upigaji wa mabilioni ya pesa za halmashauri hiyo au ukipenda sema...
  9. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo apata kashfa nzito ya kupora Tsh Milioni 400 za madereva bodaboda

    Gazeti la Raia Mwemba, leo Novemba 28, 2022 limetawaliwa na habari kubwa kuhusu mwanasiasa Mrisho Gambo kudaiw akupora Tsh. Milioni 400 za madereva bodaboda. ====== Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Shilingi 400 milioni...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi milioni 500 za Rais Samia zinavyotafunwa Halmashauri ya Ikungi-Singida

    Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU. 👇👇 Nawasalimu sana wandugu. Ninaomba niwajulishe jana tarehe 21 November 2022 nilifanikiwa kufika Ntuntu na kukagua Ujenzi wa Kituo cha...
  11. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Halmashauri ya Shinyanga kijijini angalieni kwa makini mnada unaofanyika soko la Tinde

    Wadau kwema ! Naleta maoni yangu kwa Halmashauri ya Wilaya Shinyanga vijijini, kuna soko la mnada pale maeneo ya Tinde huwa ni maarufu sanaa kwa biashara mbali mbali hadi vitoweo Nilifika ilo eneo leo kwa mara ya kwanza lkn kiukweli ni hatarishi sanaa uchomaji wa nyama Mbuzi unaofanyika...
  12. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya wilaya Kinondoni V/S Diwani Urio

    Mimi ni fundi ujenzi wa kiwango cha kati nina vijana wa kazi 20, MSAADA september 2022, mwekezaji Mzawa alipewa eneo la wazi Ununio Beach na mmiliki Halmashauri ya manispaa kinondoni kwa kufuata taratibu zote na kusaini mkataba , nyaraka za risiti nimeziona na malipo ya yalifanyika kwa control...
  13. JamiiForums Tanzania Meatu: Madiwani wamtaka Waziri TAMISEMI afanye ukaguzi maalumu wa fedha za Halmashauri, wanusa harufu ya ubadhirifu mkubwa

    BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
  14. JamiiForums Tanzania Madiwani Meatu wamuangukia Waziri TAMISEMI, wataka ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za Halmashauri, wahofia uwepo ufujaji wa fedha za wananchi

    HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 na Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Meatu za Mwaka 2014 ambazo zinaelekeza mambo...
  15. JamiiForums Tanzania Sasa ni rahisi kujisajili kwenye vikundi na kupata Mikopo ya 10% ya Halmashauri

    Katika pitapita zangu nimekutana na video inayoonyesha jinsi sisi wajasiliamali tunavyoweza kujisajili mtandaoni na kuomba mikopo ya Halmashauri. Bila shaka hatutasikia tena nakala kupotea au vikundi hewa. Nimefurahishwa na usajili kutumia namba ya NIDA na siyo majina hewa kama tulivyokuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa Mkoa awasimamisha kazi watumishi 4 Halmashauri ya Muheza, ubadhirifu na utendaji mbovu vyatajwa

    Waliosimamishwa ni Ramadhani Mtingi (Idara ya ujenzi), Zainabu Mzindakaya (Mweka Hazina wa Halmashauri), Furaha Sarakikya (Idara ya Manunuzi) na Serapion Basgange (Afisa Elimu Sekondari). Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba amewatuhumu watumishi hao kutumia vibaya Fedha za Serikali na Usimamizi Mbovu wa...
  17. JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais teua Wakurugenzi wa Halmashauri, Halmashauri zinakufa huku

    Tangu upite uteuzi wa Wakuu wa Mikoa hakuna kinachofanyika huku kwenye Halnashauri. Kauri yako uliyoitoa wakati unawaapisha wakuu wa mikoa ya kwamba " zege halilali ,hii itaenda hadi chini" umesababisha viongozi hao ku-relux na kutofanya kazi. Wapo wanaosema mama unaingiza watu wako ,hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania DODOMA: Halmashauri kuu ya CCM yaongeza muda wa kuchukua na kurejesha fomu kutokana na Utitiri wa Wagombea

  19. JamiiForums Tanzania Kulikoni Halmashauri ya Wilaya ya Hai?

    Utaratibu wa Walimu kuhama toka chama kimoja cha wafanyakazi kwenda chama kingine ni sawa kwa Tanzania nzima. Kwa nini Halmashauri ya Wilaya ya Hai walimu wake washindwe kuhama wakati Utaratibu wamefuata kama walimu wa halmashauri nyingine? Walimu Wameichoka CWT, ni Wizi ni Rushwa kila kukicha...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Halmashauri zinazokusanya kuanzia bilioni 5, zaelekezwa kutenga 10% kuboresha miundombinu ya barabara

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zinazokusanya mapato ya ndani kuanzia bilioni 5 kwa mwaka kuhakikisha wanatoa asilimia 10 kati ya asilimia 60 inayotengwa kutekeleza miradi ya maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…