Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amesema katika Ajira mpya za Kada ya Ualimu zitakazotolewa hivi karibuni mgawanyo wa walimu hao utazingatia Halmashauri zenye uhaba wa walimu.
Mhe. Katimba ameyasema hayo katika mkutano wa 15 kikao cha 52 cha Bunge la...