hamad masauni

Hamad Yussuf Masauni (born 3 October 1973) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kikwajuni constituency since 2010. On 10 January 2022, he was sworn in as the new Minister for Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjukuu wa kigogo

    Waziri Hamad Masauni, IGP Wambura leo nitawapa mifano uonevu wa askari wa kituo cha polisi Bunda. Mkifanyie uchunguzi pia chunguzeni haya ninayoyasema

    Binafsi naiheshimu sana serikali pamoja na viongozi wake kuanzia ngazi za chini mpaka kule juu.Serikali za mitaa zinafanya vizuri pamoja na kuwepo kwa changamoto kadha wa kadha. Hali kadhalika serikali kuu inafanya vyema, changamoto zipo tu hata mataifa yaliyoendelea wana changamoto lukuki tu...
  2. Waufukweni

    Waziri Masauni arudi kwa familia ya Hayati Ali Kibao kuipa pole

    Mariam, mtoto wa aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ali Kibao akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni (kulia), baada ya kufika kuwafariji kwa kifo cha baba yake. Kibao aliuawa baada ya kutekwa na watu wenye silaha, jioni ya Ijumaa ya...
  3. Erythrocyte

    Hamad Masauni alifukuzwa UVCCM kwa kufoji Umri, Ni kejeli kwa Nchi kumteua kuwa Waziri

    Ili aendelee kuwa Mwenyekiti wa Uvccm hakutakiwa kuzidi umri wa Miaka 30 kwa utaratibu wa wakati ule (Niko tayari kusahihishwa), labda Wabadili kipindi hiki. Baada ya kuona Umri unamtupa Mkono Bwana Masauni aliamua kufake umri kwa kuboresha taarifa za tarehe ya kuzaliwa kwake na kusogeza kutoka...
  4. Erythrocyte

    Godbless Lema amwelekeza Hamad Masauni kutokuhudhuria Mazishi ya Watu Wanaotekwa, atahadharisha kwamba inaweza kusababisha Maafa Mengine

    Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao. Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea. Hamad Masauni amezomewa na...
  5. Replica

    Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao

    Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao. Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama...
  6. Christopher Wallace

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ali Mohamed Kibao jijini Tanga

    Kada wa Chadema aliyeuwawa na wasiojulikana atazikwa leo na Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi atakuwepo. Inna lillah waina illah rajiuun ----- Mwili wa aliyekuwa Kada wa Chadema, Ali Kibao unatarajiwa kuzikwa leo Jijini Tanga, kata ya Tongoni katika kijiji cha Tarugube, baada ya...
  7. Roving Journalist

    Pre GE2025 Waziri Masauni avitaka Vyombo vya Usalama kulinda Amani Uchaguzi Mkuu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amevitaka Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara hiyo kujiandaa na chaguzi zinazokuja ikiwemo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu (2024) na Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani (2025) huku akivitaka...
  8. The Sheriff

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu: Waziri Masauni ajiuzulu kwa kushindwa kudhibiti vitendo vya ukatili na uhalifu

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni kujiuzulu kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo hivyo kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya ukatili nchini. Shaibu ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Katoro, Wilayani...
  9. mwanamwana

    Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam. Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano...
  10. Cute Wife

    Sativa: Naendelea na matibabu siwezi hata kufungua mdomo, yakimalizika nitatoa ushirikiano wanaotaka

    Sativa ameandika haya kwenye ukurasa wake wa X; "Hii ndio hali yangu ya Sasa. "Madaktari wanaweza kunielewa. Hizi nyaya na Lastiki nimefungwa mdomo mzima. "Hii ni kama "HOGO" ambapo ukivunjika kwenye mfupa linafungwa kwa nje kuzuia movement za eneo husika. "Hizi nyaya zinafungwa na Lastiki...
  11. Cute Wife

    Waziri Masauni aonya wanaodhihaki viongozi mtandaoni

    Ila CCM imejaa viongozi wengi wajinga, badala mtilie mkazo kwenye uadilifu, kukemea uchawa na wizi, rushwa na ufisadi, mnakuja kujitia aibu kwa ujinga kama huu! kwani nani hajui kukosolewa kwenu ni matusi? Kukosolewa kwenu ni uchochezi? Kukosolewa kwenu ni kuleta machafuko? Yaani kama hamtoshei...
  12. Roving Journalist

    Waziri Hamad Masaun atoa mwezi mmoja Mfumo wa Mipaka kufanya kazi

    Mkuu wa wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Nhayalina akimuonyesha eneo lililovamiwa na raia wa Burundi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kushoto) wakati wa ziara ya kukagua Mpaka wa Manyovu unaotenganisha nchi ya Tanzania na Burundi.Wengine ni ujumbe ulioongozana na Waziri...
Back
Top Bottom