hamas

Hamas (Arabic: حماس Ḥamās, an acronym of حركة المقاومة الاسلامية Ḥarakat al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah [Islamic Resistance Movement]) is a Palestinian Sunni-Islamic fundamentalist but pragmatic, militant, and nationalist organization. It has a social service wing, Dawah, and a military wing, the Izz ad-Din al-Qassam Brigades. It won the 2006 Palestinian legislative election and became the de facto governing authority of the Gaza Strip following the 2007 Battle of Gaza. Israel and Hamas have since engaged in several wars of varying intensity. Canada, the European Union, Israel, Japan and the United States classify Hamas as a terrorist organization. Australia, New Zealand, Paraguay and the United Kingdom classify only its military wing as a terrorist organization. It is not considered a terrorist organization by Brazil, China, Egypt, Iran, Norway, Qatar, Russia, Syria and Turkey. In December 2018, the United Nations General Assembly rejected a U.S. resolution condemning Hamas as a terrorist organization.Hamas was founded in 1987, soon after the First Intifada broke out, as an offshoot of the Egyptian Muslim Brotherhood which in its Gaza branch had previously been nonconfrontational toward Israel and hostile to the Palestine Liberation Organization (PLO). Co-founder Sheik Ahmed Yassin said in 1987, and the Hamas Charter affirmed in 1988, that Hamas was founded to liberate Palestine, including modern-day Israel, from Israeli occupation and to establish an Islamic state in the area that is now Israel, the West Bank and the Gaza Strip. Since 1994, the group has frequently stated that it would accept a truce if Israel withdraws to the 1967 borders paid reparations, allowed free elections in the territories, and the right of return of Palestinian refugees.Hamas's military wing has launched attacks against Israeli civilians and soldiers, often describing them as retaliatory, in particular for assassinations of the upper echelon of their leadership. Tactics have included suicide bombings and, since 2001, rocket attacks Hamas's rocket arsenal, though mainly consisting of short-range homemade Qassam rockets with a range of 16 km, also includes Grad-type rockets (21 km by 2009) and longer-range (40 km) if unreliably aimed rockets that have reached major Israeli towns such as Beer Sheva and Ashdod, and some that have struck cities like Tel Aviv and Haifa. Human Rights Watch has condemned as war crimes and crimes against humanity both Hamas and Israel for attacks on civilians during the conflict, stating that the rationale of reprisals is never valid when civilians are targeted.In the January 2006 Palestinian parliamentary elections, Hamas won a majority in the Palestinian Parliament, defeating the PLO-affiliated Fatah party. After the elections, the Quartet (the European Union, Russia, the United Nations and the United States) made future foreign assistance to the Palestinian National Authority (PNA) conditional upon the PNA's commitment to nonviolence, recognition of the state of Israel, and acceptance of previous agreements. Hamas rejected those conditions, which led the Quartet to suspend its foreign assistance program and Israel to impose economic sanctions on the Hamas-led administration. In March 2007, a national unity government headed by Prime Minister Ismail Haniyeh of Hamas was briefly formed, but this failed to restart international financial assistance. Tensions over control of Palestinian security forces soon erupted in the 2007 Battle of Gaza, after which Hamas took control of Gaza, while its officials were ousted from government positions in the West Bank. Israel and Egypt then imposed an economic blockade of the Gaza Strip on the grounds that Fatah forces were no longer providing security there.

View More On Wikipedia.org
  1. Tajiri wa HAMAS anayeishi kwa raha Qatar asema hadi Israel ifutwe ndio amani ipatikane

    Akataa Wapalestina wasipewe dola yao, (yaani two-state) msimamo wake ni mapigano yaendelee hadi Israel ifutwe, tatizo anayasema yote haya akiishi kwa raha na starehe huko Qatar wakati wana Gaza wanaendelea kuuawa na majengo yao kubomolewa kote. Hii iwafikie mashabiki wa maugaidi ya HAMAS, msio...
  2. I

    Israel yakataa pendekezo la Hamas la kusitisha vita

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekataa pendekezo la Hamas la kusitisha vita na kuwaachilia mateka ili kubadilishana na kuondoa majeshi ya Israel, kuwaachilia wafungwa na kukubali utawala wa kundi linalojihami la Gaza. Netanyahu, ambaye anakabiliwa na shinikizo la ndani la...
  3. M

    HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

    Askari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21 wa Israel wakafariki. Hii imetokea jana tarehe 22/1/2024 na Imeripotiwa leo na gazeti la Israel la...
  4. Nani anampa kiburi Netanyau? Hamas hatutaki vita iendelee tumeamua yaishe. Analeta Kibri?

    Nimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh... Sisi tunaona inatosha yeye analeta kibri. Ni nini sababu lakini? Si sawa. Njoo wenzangu tumshambulie huyu Israel. Ritz ...
  5. O

    Debate challenge: Mgogoro wa Hamas na Israeli

    Pamoja na uwepo wa mdahalo kati yao, mdahalo huo haukuwa na topic maalum isipokuwa aina ya majigambo. Sasa basi huu ni mdahalo wa wiki nzima kwanzia leo Jumapili mpaka Jumapili ijayo tutakapopata mshindi wetu. Nyani Ngabu na FaizaFoxy karibuni katika mdahalo huku tukisubiri ule wa makonda...
  6. Makamanda wa Jeshi la Israel wamekiri Kushindwa na Hamas: - NYT

    Makamanda wa IDF: Haiwezekani kuwashinda Hamas na kuwaokoa mateka - NYT Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa Google. Malengo mawili ya kuwaokoa mateka na kuwaangamiza Hamas hayawezekani, Majenerali wanne waandamizi wa IDF waliliambia gazeti la New York Times katika makala iliyochapishwa...
  7. Uhuru wa Palestina wanukia. Waziri wa baraza la vita la Israel asema Netanyahu haeleweki na Hamas haishindwi

    Maamuzi ya kudai uhuru kivitendo iliyofanya Hamas yanaanza kuzaa matunda japo yamepatikana kwa gharama kubwa sana ya vita kuliko vita vyote. Waziri muhimu katika baraza la kuongoza vita nchini Israel,Gadi Eisenkot amesema malengo halisi ya vita kati ya Israel na Hamas hayako wazi na anayeyajuwa...
  8. M

    Iran, China, Russia and North Korea are providing weapons to Hamas in the fight against lsrael

    As per an Associated Press analysis, sniper rifles from Iran, AK-47 assault rifles from China and Russia and North Korean rocket-propelled grenades have been found in Gaza. Read More Iran, China, Russia and North Korea Providing Weapons to Hamas Amid Gaza War: Report Gaza Strip: As the...
  9. Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

    Ikiwa ni siku ya 110,zaidi ya miezi 3 tangu vita vianze mapigano makali yameripotiwa kwenye mpaka wa Israel na Gaza na kupelekea Israel kuamua kurudisha baadhi ya vikosi ilivyokuwa imeviondoa kaskazini ya Gaza. Katika mapigano ya jana Hamas ilifanikiwa kurusha makombora kadhaa kulenga maeneo ya...
  10. Viongozi wa HAMAS waitoroka Lebanon, Hezbollah imeshindwa kuwalinda

    Hii ni baada ya Israel kudhihirisha wana uwezo wa kupiga popote, wana nia, uwezo na nguvu....na wanapiga. ========== Most of Hamas's military leaders based in Beirut escaped the Lebanese capital due to fears of being targets of assassinations, KAN News reported Sunday night, citing a source...
  11. Sasa Israel yaendeleza uchokozi kwa Misri. Yaitaka ifunge mpaka wa Rafah ili iweze kuwashinda Hamas na kujimilikisha Gaza mia kwa mia

    Katika maadhimisho ya siku mia za vita kati ya Israel na Hamas waziri mkuu wa Israel ameiamrisha Misri ifunge mpaka wake na Gaza na kuiachia Israel kudhibiti eneo lote linalounganisha Gaza na nchi hiyo ya kiarabu. Kipande hicho cha ardhi ambacho Israel kinakiita Philadelphi Corridor kina urefu...
  12. ITV inaunga mkono Hamas, Star TV inaunga mkono Israel na Marekani

    Bila kificho, ITV inashiriki Propaganda za Hamas. Wanasiasa wanaoalikwa kuzungumzia siasa za kimataifa mara nyingi ni wale wenye mrengo wa Hamas. Vilevile Star TV inaunga mkono Israel na Marekani bila kificho. Fuatilia utagundua hilo
  13. Hezbolallah wasema Israel imepiga uraiani, hivi hivi ndivyo huwa mnalia hata kwa HAMAS

    Huwa mnachokoza Israel, mkijibiwa mnasema wamepiga raia na watoto.... Lebanon walishaonywa kwamba watafanywa kama Gaza. === An Israeli strike on a civil defense center in southern Lebanon on Thursday killed two rescuers and destroyed an ambulance, according to the Hezbollah-affiliated rescue...
  14. HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000? Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu...
  15. Israel wanaomba Mateka waachiwe Gaza. waondoe majeshi yao na viongizi wa Hamas waende uhamishoni

    Wanakumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita: Kawambua haiwezekani kuiondoa Hamas Gaza katika hali yake sasa Israel wamerudi Qatar tena hali tete Gaza. Baraza la mawaziri la vita la Israel liliwekwa Jumatano...
  16. Hamas wametoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye vita Gaza

    Wanaukumbi. Hamas ilitoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye uwanja wa mapambano Gaza. Walisimamia machapisho ya uchunguzi ambapo waliendesha bunduki za mashine zinazodhibitiwa kwa mbali. Walikamatwa baada ya kambi yao ya kijeshi kuzidiwa na wapiganaji wa Hamas, na...
  17. S

    Israeli inasema malengo yao Gaza kaskazini yamefikiwa huku utawala wa Hamas ukisambaratishiwa mbali,yaainisha malengo matano ambayo yalikusudiwa.

    Israeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda". Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha...
  18. Kwa utetezi wa Joshua Mollel, soma maelezo mengine hapa chini

    Huku mjadala wa Joshua Mollel ukiendelea kufanywa, baada ya interview ya baba mzazi kuzidi kuwachanganya watanzania, kuna vitu taarifa chache nimeweza kuzipata. Naendelea kutoa pole kwa familia ya Mollel. Ndugu Ephata Nanyaro amefanya kazi nzuri sana ya kusaidia kuelezea na kufisha conspiracy...
  19. Israeli yaelekea kushindwa kuwamaliza na kuwateketeza kundi la Hamas kama walivyoahidi

    Israeli yaelekea kushindwa kuwamaliza kwa kuwaua wapiganaji wa kundi la Hamas kama walivyoitangazia dunia. Ni siku 90 (miezi mitatu) imepita tangu Israeli iingize majeshi yake ya ardhini ndani ya Ukanda wa Gaza huku wizara ya afya ya Gaza ikisema kuwa wapalestina wapato 22,000 wamepoteza maisha...
  20. Rais wa Marekani akiri Hamas haiwezi kumalizwa.

    John Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel. Mengine jionee mwenyewe:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…