hamasisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala

    Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy". Kwahio cha kujiuliza je ? Kuhamasisha matumizi ya LPG badala ya kuhakikisha...
  2. Weka wimbo /msemo(quote) wowote unao hamasisha utafutaji wa PESA

    Ni siku nyingine tena Mwenyezi Mungu katujalia uhai ,ikiwa na maana tumepata wasaa pia wa kutafuta pesa -ikiwa ina maana ukiwa na pesa itakusaidia kupata suluhu ya mambo mengi sana . mimi ntakupa wimbo mmoja tu zamani wazazi waliuchukia sana sababu ulihusishwa na dawa za kulevya lakini ukaja...
  3. S

    Wanasiasa na wanaharakati hamasisheni wananchi waweze kujilimia chakula la sivyo hali itakuwa mbaya sana baadaye

    Nasema na wanasiasa na wanaojiita wanaharakati tuna jambo kubwa sana kwa wakati huu kama nchi kukosekana kwa mvua ya kutosha ambayo tunategemea kwenye kilimo ukiwemo na umeme Hoja yangu ni hii mtumie majukwaa kuhamasisha wananchi kufanya kazi kwa bidii na hata kwa hizi mvua chache hamasisheni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…