hamis

  1. milele amina

    Tathmini ya Utendaji mbovu wa Ramadhani Hamis wa Kitengo cha Habari na Mwanahabari wa Moshi Manispaa.

    Katika muktadha wa utawala na usimamizi wa habari, suala la uwazi na ukweli linapewa kipaumbele cha juu. Hii ni kutokana na umuhimu wa habari sahihi katika kuimarisha uhusiano kati ya serikali na wananchi. Hata hivyo, katika Moshi Manispaa, kuna masuala yanayoonekana kuathiri ufanisi wa...
  2. Pascal_TZA

    Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo February 26,2025 imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) kwa kumuua Mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa Katika kesi ya jinai namba 44/2023 mfanyabiashara huyo mkazi wa Gezaulole...
  3. Wakusoma 12

    Hamis Mwinjuma (Mwana FA) apewe Uwaziri kamili wizara ya Sanaa na michezo

    Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
  4. Waufukweni

    Mbunge Hamis Taletale Atimiza Ahadi: Aondoa Changamoto ya Maji Chumvi Katika Vijiji vya Mgude na Ngerengere

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ametimiza ahadi yake kwa Wananchi wa kata ya Ngerengare baada ya kufanikisha kupatiwa huduma ya maji baridi ambapo jumla ya matanki matatu yametolewa na Serikali kusambaza maji katika Vijiji viwili vya Mgude na Ngerengere. Kwanzia sasa Vijiji...
  5. Lupweko

    Mwanafunzi Hija Hamis ahukumiwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

    Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, Hija Hamis Msumi (16) ambaye ni mkazi wa Kiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya Mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
  6. L

    Balozi Hamis Kagasheki amemaanisha nini kwenye ujumbe huu?

    Ndugu zangu Watanzania, Soma ujumbe huu wa Mheshimiwa Balozi Hamis Kagasheki useme alimaanisha nini.soma kwa kutulia na ujibu baada ya kutafakari na kuelewa na siyo ukimbie mbiombio kujibu tu Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha...
  7. Natafuta Ajira

    Sex mpaka ndoa

    Kama tayari ameshampa hamis, sheby bodaboda, frank, Qboy, dj dully, pius, zero iq, devi, jembe, chid, rasta, baba kevi, george, cadabra n.k iweje akuambie wewe sex mpaka ndoa.! No room to that nonsense condition like SEX MPAKA NDOA, the moment she broke her virginity she has lost right to that...
  8. Mpishimzoefu

    SoC04 Mfuko wa uwekezaji wa pamoja (UTT AMIS) uunganishwe na mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kuwakwamua Watumishi wa Umma

    Watumishi wa Umma wamekuwa wakipitia changamoto za kifedha kwasababu ya kukosa kipato Cha ziada,Iwapo mifuko hii itaunganishwa changamoto hii inaweza kupungua. Kwanza nianze na kueleza maana ya mifuko hii 1. NSSF Ni mfuko wa hifadhi ya jamii ambao unamsaidia mfanyakazi wa Umma au Taasisi...
  9. KING MIDAS

    Maisha ya Hamis Kichwa yanasikitisha sana baada ya kustaafu kazi ya Polisi

    Angalizo:- Habari hii ni sanaa ya picha na haiendani na uhalisia wa maisha, Wala jina la mtu yoyote. Hamis Kichwa, alikuwa maarufu sana hapo Oyster Bay Police akisifika kwamba ndiye Israel mahiri kwa majamba konki ambao inatakiwa tu watangulizwe. Hamis Kichwa mtu wa Tanga, alikuwa anasifika...
  10. Erythrocyte

    Hivi ndivyo alivyojibiwa Hamis Kigwangwala mtandaoni

    Jionee mwenyewe halafu toa maoni yako
  11. change formula

    Naibu Waziri Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' ni kirusi kwa ustawi wa michezo, Rais amtoe wizarani

    Tangu huyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma ,maarufu Mwana FA ateuliwe na Rais kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo ameonesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hiyo. Ni mtu hatari kwa usalama na ustawi wa amani na utulivu wa nchi. Tangu ateuliwe nafasi hiyo amekuwa anatumia muda mwingi kwenye...
  12. Roving Journalist

    TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

    Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
  13. MAWEED

    Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

    Aliyekuwa Dereva na mmiliki wa gari ndogo, Hamis Chaurembo (27) maarufu kama SIMBA ambaye amefariki baada ya kupata ajali mbaya huko Kibondo Kigoma amezikwa jana. Ila kuna cha kujifunza hapa kutokana na maneno ya baadhi ya marafiki zake. "Baadhi ya A.K.A alizopambwa nazo ni pamoja na 'Mwendo...
  14. Teko Modise

    Hamis Mwinjuma (Mwana FA) hapo zamani aliwahi kutoa ushauri wake kuhusu hali ya Umeme

    Hizi ni tweet za Naibu Waziri wa Michezo, Hamis Mwinjuma enzi hizo kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kutoa mawazo yake kuhusu umeme.
  15. Erythrocyte

    Mabadiliko: Hamis Kigwangwala aanza kuzungumza lugha ya Wananchi

    Katika hali ya kushangaza, Waziri wa zamani wa Utalii Hamis Kigwangwala amejitokeza hadharani kutaka jamii iwapime viongozi kwa utendaji badala ya Uchawa . Tunampongeza sana Mh huyu kwa kuliona jambo hili . Bali wengi tunajiuliza , maono haya ya Kigwangwala yanatoka moyoni kweli au ni kwa vile...
  16. Teko Modise

    Kutoka maktaba: Enzi hizo Hamis anasuka

    Ni Hamisi akiwa na Marehemu Amina, miaka inakimbia sana.
  17. Notorious thug

    Hamisi Kigwangalla ana tatizo la Afya ya Akili?

    Twende kwenye mada, Hamis Kingwangala mbunge wa Nzega Vijijini amekua na matukio mengi sana kukosana na watu, kuwatishia na silaha na kuwajeruhi na silaha. Kama mnakumbuka jamaa aliwahi kutishia watu huko Mbarali Mbeya na Bastola kipindi analima Mpunga Mbarali. Pia aliwahi kuwa na ugomvi mkubwa...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

    Yaani doc, nimesikitika sana, umeshindwaje kudhibiti hasira zako hadharani? Kwanini uwe gumzo kwa migogoro na wafanyakazi wako, hasa kwenye kuwanyima haki zao? Haya yetu macho
  19. J

    Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

    Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla =====...
  20. Dr am 4 real PhD

    TANZIA Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo. Mdau mkubwa wa sanaa...
Back
Top Bottom