Wakuu,
Wasanii/wanamichezo na vijana wanazidi kuaibisha wakiongozwa na huyu kijana aliyepata nafasi ya kuhakikisha sekta ya sanaa, michezo na utamaduni inasimama vizuri na wasanii wananufaika na kazi zao.
Kila siku ni uchawa left and right! Msanii akiumwa kidogo tu anaanza kutembeza bakuli...
Serikali imesema bado ina dhamira ya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kuwapa mafunzo (kozi) wachambuzi wa michezo kabla ya kwenda kufanya kazi ya uchambuzi kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa kanuni za michezo kama zinavyotaka.
Hayo yameelezwa tarehe 05 Februari, 2025 bungeni Jijini Dodoma...
Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
Akiongea Jana kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu cha historia ya klabu ya Yanga, Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa michezo, alisema kitendo cha viongozi na wanachama wa Simba kukubali kuendesha timu Kwa miaka 6 bila kukamilisha mchakato wa mabadiliko ya katiba na sheria za uendeshaji wa timu...
Tangu huyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma ,maarufu Mwana FA ateuliwe na Rais kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo ameonesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hiyo.
Ni mtu hatari kwa usalama na ustawi wa amani na utulivu wa nchi.
Tangu ateuliwe nafasi hiyo amekuwa anatumia muda mwingi kwenye...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma leo Juni 15, 2023 mkoani Tabora amefungua mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSSETA) kitaifa katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo Mhe...