hamis tobius gaga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini siumii na sitoumia Chama akiachwa Simba SC? Hajafikia hata 35% ya Uwezo mkubwa aliokuwa nao Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino'

    Kama fundi hasa wa mpira sehemu ya Midfield Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino' aliondoka Simba SC yetu na kwenda Yanga SC na wala sikuumia japo wana Simba SC wote tulimpenda ndiyo itakuwa leo Mtu kama Chama ambaye hata tu Uwezo wa 35% ya aliokuwa nao Gaga hana akiondoka niumie? Watoto wa leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…