Naweza nikasaidiwa humu kwa wajuzi, haya masuala siyafahamu kiundani ila kupitia maandiko mbalimbali, nk nimekuwa kuna watu siwaamini, nakukaa kwa umakini, kutokumuamini kila mtu, issue za usalama, upelelezi.
Hivi Bongo ZOZO ni shabiki tu na mtu mwenye mapenzi na Tanzania au kuna kitu nyuma...