hamisa mobeto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nakuomba tuliza Akili yako na niambie kwa hii Kauli ya Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto umegundua nini kilichojificha?

    "Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto. Chanzo: minotv_tz Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke...
  2. Dada yangu na Poti Hamisa Mobeto ni lini utatuletea Shemeji yetu Azik K Mkoani Mara (Musoma) ili ale Kichuri na afundishwe pia kuwa na Hasira Kali?

    Halafu ilikuwaje katika Harusi yako ukanisahau kabisa Kunialika Mimi Kaka yako kutoka Mkoani Kwetu Mara kwa Wababe? ANGALIZO Tafadhali ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Mrangi, Mnyiramba, Muha, Mnyamwezi na Mkara kaa mbali na huu Uzi Okay?
  3. Aziz Ki acha ushamba, Hamisa Mobeto hana hata Mahari ya kuku kumi (10)

    Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili. Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi ningekuwa Mimi ndiyo nataka Kumuoa ningetoa Mahari ya Shilingi Elfu Hamsini za Kitanzania na Kuku Jike...
  4. M

    Hamisa Mobeto you're great. The Ki can't function anymore. DEAL DONE

    Simba gave you a Mission and you' ve accomplished it with outstanding performance. Hamisa you deserve to be awarded. Jamani wenye mawasiliano na Aziz Ki naomba mtumieni hii ili ajue Tz kuna Mafia waliotukuka
  5. X

    Hamisa Mobeto ana mchango gani kwenye sekta ya madini? Wizara ya Madini mjitafakari sana kuelekea TMIC2024

    Nimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024) Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa...
  6. Hamisa Mobetto yupo jukwaa bwana akimtazama Aziz Ki dhidi ya Tabora United

    Staa wa filamu na mfanyabiashara Hamisa Mobetto yupo Uwanja wa Azam Complex, aki-check mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Tabora United kuanzia ulioanza saa 12:00 Jioni. Soma Pia: Yanga SC 0 - 0 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,02 Picha: Mwanaspoti
  7. Hamisa Mobeto ana kesi ya kujibu kushuka kiwango cha Aziz Ki, Chama ni mzee, ana mechi zake, Dube anazuzuliwa na pesa alizolipwa GSM

    Kipindi niko chuo boom likiingia hakuna kusoma mpaka liishe au itangazwe test,nitasomaje na accont ina milioni moja?milioni moja ndio,kwa miaka ile kwa mwanafunzi ni hela nyingi sana,kipato cha wanafunzi wa chuo kinazidi walinzi na vibarua wa viwandani. Huyo ndio Prince Dube,moaka hela za GSM...
  8. Uongozi wa Simba SC na wa wana Simba SC wote tafadhali tuwaangalieni kwa Jicho la Umakini sana hawa akina Ommy Dimpozi na Hamisa Mobeto

    Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC...
  9. Hamisa Mobeto ni kiini macho tu, Aziz Ki anafidiwa pesa aliyoikataa kwingine

    Inahitaji jicho la kiinteligensia kujua baadhi ya mambo yanayoendelea nchi hii. Watu wameshangaa inakuwaje Aziz Ki akatae zaidi ya milioni 90 kwa mwezi, tofauti labda ya zaidi ya milioni 60 ya pesa anayolipwa sasa. Likatengenezwa picha eti mlimbwende Hamisa Mobeto ndiyo kama kamshawishi abaki...
  10. Waganga wa Tanzania Kiboko yaani Mtu 'anarogwa' hadi anaacha Mshahara wa Tsh Milioni 90 kwa Mwezi South Afrika na Kuubali wa Tsh Milioni 30 za Ilala

    Na cha Kushangaza pia za South Afrika anapewa kila Mwezi, ila za Ilala anapewa kwa Awamu Tano na hata Kukopwa.
  11. Tetesi: GSM wanavyomtumia Hamisa Mobeto kurudisha mamilioni atakayopewa Aziz Ki

    Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani. GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa. Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
  12. 7 PARIS, FRANCE – Rick Ross has five children, and one of them has officially made him a grandfather

    Erika Goldring/Getty Images RICK ROSS CELEBRATES BECOMING A GRANDFATHER FOR THE 1ST TIME PARIS, FRANCE – Rick Ross has five children, and one of them has officially made him a grandfather. On Friday (June 24), the Maybach Music Group boss took to his Instagram Story with a post revealing the...
  13. Hamisa Mobetto ana roho ngumu sana

    Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  14. Hamisa Mobetto umekosea kuongea na waandishi JKIA

    Hamisa, ujio wako kutoka Dubai ni Habari kubwa. Ungetengeneza hela kubwa kama ungejizuia kuongea na waandishi wa Habari. Ukatafuta chombo cha Habari ambacho kingekulipa na kujitengenezea hela za kutosha. Harmonize pia alifanya kosa hilo hilo. Habari zake alipotoka Marekani ilikuwa ni hela...
  15. Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

    Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao. Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.
  16. Gazeti la Nipashe kwanini hamjamtaja Eddo Kumwembe kwamba ni balozi wa Kodi?

    Jana Waziri wa Fedha akitoa muono wa Bajeti ya Serikali na kuhitimisha Hoja ya Bajeti Kuu ya Serikali aliwataja watu maarufu Watatu kuwa Mabalozi wa Kulipa Kodi ambao ni Hamisa Mobeto (Mwanamitindo na Mwigizaji) Eddo Kumwembe na Mbwana Samatta mwanakabumbu wetu TZ huku kimataifa Sasa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…