hamisa mobetto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Nakuomba tuliza Akili yako na niambie kwa hii Kauli ya Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto umegundua nini kilichojificha?

    "Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto. Chanzo: minotv_tz Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke...
  2. Waufukweni

    VIDEO: Wachezaji wa Yanga na Ali Kamwe kwenye party ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto

    Wachezaji wa klabu ya Yanga wakiwa wameambatana na Afisa Habari wao Ali Kamwe kwenye harusi ya Mchezaji Aziz Ki na Hamisa Mobetto. Soma, Pia: VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto Aziz ki na Hamisa Mobetto wanafanya sherehe ya ndoa yao (Harusi) hii leo
  3. LIKUD

    Watu wanauliza Hamisa Mobetto amepiga pigaje hapo? Majibu yangu ni Haya hapa chini 👇👇👇👇👇

    Watu wanauliza Hamisa kapiga pigaje hapo? Anafanikiwa kwenye Kila jambo analofanya. Biashara zake zinaingiza mamilioni. Ana invest kwenye projects za mamilioni. Hadi Rais anamfahamu personally. Nchi nzima ina mjua na kumtambua. Watu wengi Wana mpenda na kumu admire? Yote tisa kumi...
  4. MFALME WETU

    Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

    ugonile, Ntakua wa mwisho kuamini kuwa Aziz Ki kafanya maamuzi ya kufunga ndoa na Hamisa bila kupigwa juju Wanawake wengi wa kibongo wanatabia kwamba wakipata mchumba au danga lenye vijisenti wanamwendea kwa mganga ili wasiachike, wapo tayari kuwashirikisha hata mama zao ilo suala ili mambo...
  5. Waufukweni

    VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

    Wakuu Fundi wa ball ashavuta jiko Aziz Ki amekamilisha kiapo cha ndoa msikitini na rasmi ni mume wa Hamisa Mobetto. Soma, Pia Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30 VIDEO: Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto
  6. Yoda

    Hamisa Mobetto anafanya kazi gani inayompa umaarufu mkubwa nchini?

    Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
  7. LIKUD

    Hamisa Mobetto, Mtoto wa “Kayumba” anaefanya mambo makubwa

    I am so proud of you Hamisa. This girl need to be studied. Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School) Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters. Wazazi tunao somesha watoto wetu...
  8. Waufukweni

    Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto

    Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao. Tukio hilo limefanyika katika...
  9. Waufukweni

    Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

    Wakuu Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025) Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
  10. Waufukweni

    Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine

    Mchezaji wa soka maarufu, Aziz Ki, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mapenzi yake na mpenzi wake, Hamisa Mobetto. Akitumia mtandao wa kijamii wa Instagram, Aziz Ki ameandika ujumbe wa kipekee kwa Mobetto, akimtakia Siku ya Valentine na kuelezea jinsi alivyojisikia kuhusu uhusiano wao saa...
  11. SAYVILLE

    Nimealikwa kwenye harusi ya Hamisa Mobetto na Aziz Ki. Are you invited?

    Kama mdau mkubwa wa soka Tanzania na mwanafamilia nimepewa na kupokea mwaliko katika harusi ya Hamisa Mobetto na MVP wa NBC Premiere League 2023-24 Stephanie Aziz Ki. Harusi hii itafanyika ukumbi wa The SuperDome. Mwaka huu mafanikio yoyote ya mpira pale Uto tusahau ila harusi tunayo 🤣😂...
  12. Waufukweni

    Hamisa Mobetto na Aziz Ki kufunga ndoa, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili

    Muigizaji Hamisa na mchezaji wa soka Aziz Ki kufunga ndoa mwaka huu, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili ya video wakila bata Dubai, wakitumia hashtag #MissaKi2025. Hili linakuja wiki chache baada ya Mobetto kumtambulisha Aziz Ki, MVP wa msimu uliopita Ligi Kuu ya NBC. Soma, Pia...
  13. Waufukweni

    Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

    Mwigizaji, Hamisa Mobetto, amtambulisha mpenzi wake Stephane Aziz Ki, mchezaji wa soka wa klabu ya Yanga SC. Mobetto ameachia picha na video akiwa pamoja na MVP wa Ligi ya NBC msimu wa 2023/24 wakiwa pamoja wakila maisha. Soma: Hamisa Mobetto yupo jukwaa bwana akimtazama Aziz Ki dhidi ya...
  14. Waufukweni

    Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan na dili la Juventus Academy Tanzania

    Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema: Juventus Academy Tanzania inalenga kusaidia vijana wenye vipaji vya soka kwa kutumia mbinu za mafunzo za Juventus zinazotambulika...
  15. M

    Hamisa Mobetto na Azizi Ki Dubai

    Mwanamitindo na msanii wa muziki Tanzania Hamisa Mobetto amekubali kwenda dubai na mchezaji wa soka wa Yanga Ki Aziz kwa siku nne baada ya kuulizwa kama atakubali kenda nae jana katika usiku wa tuzo wa TFF. Wawili hao wamekua wakionekana pamoja mitandaoni, wameonekana pia pamoja jana katika...
  16. Ketoka

    Kumbe Aziz Ki kilichombakiza Tanzania ni Hamisa Mobeto? Licha ya ofa kibao zilizotolewa na timu kubwa Afrika zikatupwa kisa mwanamke

    Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha Mchezaji wa Yanga na Hamisa Mabeto wakiwa katika dimbwi zito la mapenzi katika uwanja wa mazoezi Licha ya ofa kubwa kutolewa kwa Aziz Ki bado akaona asingemuacha Mabeto mbali ya mboni ya macho yake Sifa nyiiingi kwa injinia kumbe sivyo ,sifa...
  17. Nifah

    Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

    Mwanadada mrembo, mwanamuziki, mwigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la kificho kwa takribani mwezi wa pili sasa. Penzi lilimea SA, Ubuntu Botho! Wawili hao walikutana kwenye...
  18. FRANCIS DA DON

    Hamisa Mobetto twin

  19. BARD AI

    Hamisa Mobetto: 'Nachukia wanaoniomba niwazalie Watoto’

    Msanii Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema anachukizwa na baadhi ya wanaume wanaomfata na kumuomba awazalie watoto. Hamisa amesema baadhi ya wanaume wamekuwa wakimfuata na kumueleza kuwa wanataka awazalie watoto na kudai kuwa kama mtu anataka amchukie maisha amfuate...
  20. N

    Mkanganyiko wa tozo na kodi lawama kwa Mobetto, Samatta, Edo Kumwembe

    Mzalendo nambari moja nchii hii mwenye uchungu kuliko watanzania wote. Mchumi grade A, anayepambana kwa hali na mali kuwatoa watanzania kwenye umaskini, anayelia machozi ya damu akiwaona maskini field marshall Mwigulu aliteua mabalozi watatu wa kodi kuelimisha watanzania. Hamisa Mobetto, Mbwana...
Back
Top Bottom