Mwanadada mrembo, mwanamuziki, mwigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la kificho kwa takribani mwezi wa pili sasa.
Penzi lilimea SA, Ubuntu Botho!
Wawili hao walikutana kwenye...