Mlimbwende na msanii wa Tanzania Hamisa Mobetto amekana madai kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Rapa wa Marekani Rick Ross.
Akizungumza katika mahojiano na runinga ya NTV nchini Kenya, Msanii huyo ambaye pia ni mfanyabishara amethibitisha kwamba yeye ni rafiki wa karibu wa mwanamuziki huyo wa...
Hatimaye tetesi zimekuwa kweli! Diva wa music Bongo Sukari, Zuchu anatoka na boss wake aliyemtoa kimuziki yaani Diamond Platnumz.
Jana wamenaswa Hyatt Regency wakijiachia full mahaba kiss and touch everywhere. Yasemekana anataka kumuoa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kabla ya kuwa na...
Mtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper Rick Ross yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper Pretty Vee.
Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika record label yake ya Maybach Music na vyanzo vya habari vya MTO vinasema kuwa Pretty Vee amekuwa...
Hamisa Mobetto amekuwa mama wa ajabu, dada na mtu maarufu kwa watu wengi wanaounga mkono maisha yake ya watu mashuhuri.
Ingawa amekuwa akikejeliwa na wengi kuhusu jinsi Diamond Platinumz anavyomchukulia mtoto wake, Hamisa ameonekana kuwa mwanamke shupavu ambaye atafanya lolote ili familia yake...
Mwigizaji maarufu Bongo Hamisa Mobetto amepuuzilia mbali madai kwamba amekuwa akionekana sana na watu mashuhuri duniani kwa sababu anajaribu kumkomoa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz.
Akiwa kwenye mahojiano na wanahabari, Mobetto aliweka wazi kwamba kwa kawaida yeye huwa hana matatizo...
Hivi karibuni ukurasa wa Hamisa Mobetto Instagram umedhihirisha kuwa mwanamtindo huyo yupo karibu sana na Rick Ross.
Hamisa Mobetto amekuwa akichapisha picha na video fupi zikionesha wawili hao wakiwa kwenye kumbi tofauti za starehe huku wakionesha ishara ya mapenzi
Shabiki wa Rick Ross na...
Hamisa Mobetto hana furaha hii baada ya kupitia kwenye mtandao wake wa kijamii kuwakashifu watu wanaomhusisha na hadithi ambazo hajui chochote kuzihusu.
Anasema kwamba wale wanaomhusisha na wanaume ambao hawachumbii wakome.
Kwa maana hafurahishwi na watu hao wanaounganisha picha yake na...
Mrembo mwana mitindo na msanii maarufu anayetikisa dunia kwa sasa Hamisa Mobetto amekuja na record label ( Mobetto music) yake ambayo ofisi zake zinapatikana jijini Dar es Salaam Tanzania.
Habari za chini zinasema record label hiyo imeshasajili baadhi ya wasanii akiwemo Gigy Money, Amber Ruty...
Watanzania wote wako proud baada ya mrembo hamisa mobetto kupostiwa na page mashuhuri ya udaku marekani TheShadeRoom. Mrembo huyo amepostiwa kama ndio girlfriend mpya wa mwana muziki na billionaire Rick Rose.
Baada ya page hiyo mashuhuri kumpost inaonekana hadi warembo wamarekani wameanza...
Wanaodaiwa kuwa Wapenzi, Mwanamitindo na Mwingizaji, Hamisa Mobetto na Mfanyabiashara Fred "Vunja Bei" wanadaiwa kumwagana.
Ikumbukwe kuwa Mobetto na Vunjabei hawajawahi kutangaza wazi wazi kuwa wapenzi zaidi ya kupostiana kwenye mitandao wakiitana shemeji na pia kuonekana sehemu kadhaa za...
Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena...
Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka mapya baada ya Rayvanny kutoka WCB kupost video akiwa na Paula Mathysse ambaye ni mtoto wa Kajala na...
Habari inayowaka moto kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni Video inayoonyesha Gari ya Diamond Platnumz ikiwa imepaki, huku ndani ya gari hilo ikisemekana yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Hamisa Mobetto ambaye pia ni Mzazi mwenzie.
Video hyo inazagaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii...