Mabaki ya mwili wa Naomi Orest Marijani aliyeuawa kisha kuchomwa moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa ndani ya banda la kuku na Mume wake Hamis Luwongo Mai 15, 2019 maeneo ya Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es salaam, yanaagwa kwa Baba yake mdogo maeneo ya Mtoni Kijichi leo Ijumaa Machi 14...