Daaa ukisikiliza hii clip unaweza ucheke Hadi uvunjike mbavu lakini Wabunge Vituko wa Hivi ambao ni entertainer ndio Watanzania Wanawapanda na Mi 5 watapata.🤣🤣🤣🤣🤣👇👇
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha ujenzi wa barabara na...