Watu hawataki porojo, wamechoka wengi hata Serikali hawaihitaji ila wanataka tu itimize wajibu wake mengine yote tumeshajizoelea kujifanyia, wawashe umeme, hivyo jibu maswali magumu na siyo kurukia rukia hoja zisizowasaidia watanzagiza, waambie kwa nini hamna umeme wakati kabla ya uraisi wa...