hamna

Lützow-Holm Bay is a large bay, about 220 kilometres (120 nmi) wide, indenting the coast of Queen Maud Land in Antarctica between Riiser-Larsen Peninsula and the coastal angle immediately east of the Flatvaer Islands. It was discovered by Captain Hjalmar Riiser-Larsen in two airplane flights from his expedition vessel, the Norvegia, on February 21 and 23, 1931. The name honours Commander Finn Lützow-Holm of the Royal Norwegian Navy Air Service, a pilot for Captain Riiser-Larsen on the Aagaard in 1935.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Titles za degree za bongo zinatisha na zina maneno mazito ila ndani ya vichwa vya waliosoma hamna kitu, msitishwe na titles

    Kuna midigree inatisha ukisikia mpaka unajiuliza huyu mtu kweli namvyomjua ni kilaza hivi amewezaje kuviweka kichwani. Kumbe ukianza kuongea naye hamna kitu ila Cheti chake kinatisha. Mfano banking na financial services, sijui highway engineering sijui educational policies and planing etc...
  2. Siri za utajiri ambazo hamna mtu anayeweza kukwambia

    Huu ujumbe ni special kwa ndugu Deborah9007 , maana nilikuwa kwenye mfungo, na Mungu akaniambia niongee na wana JamiiForums juu ya jambo hili. Ili uwe tajiri na udumu katika utajiri wako, eidha wa nuruni au wa gizani ni lazima uwe na vitu viwili vikubwa. 1. MADHABAHU 2. AGANO. Madhabahu ni...
  3. CHADEMA mmepoteza mwelekeo, msimamo, hamna sera, mmekuwa wababaishaji

    Hivi nyie CHADEMA ni nani aliye waroga? Anaandika Almaliki Mokiwa. Katika nchi yetu ya amani (Tanzania) tumebarikiwa kuwa na vyama vingi vya siasa, wakati ACT, CHAUMA, CUF na vyama vingine kama CHADEMA vikiwa vyama pinzani, na CCM kuwa chama tawala, CHADEMA imejitanabaisha kuwa chama kikuu...
  4. M

    Kwanini Watanzania hamna shukrani kwa walimu?

    Enyi Watanzania hadi lini mtadharau walimu? Walimu Hawa wanao fundisha watoto wenu Kila siku mnawaona kama maskini, roho yangu inauma sana. Hii dhambi ya baadhi ya wapumbavu na wajinga kudharau maisha na maslah ya walimu kuwa ni madogo ni laana kwa taifa hili.
  5. Mwambieni Ali Kamwe na utopolo wenzake hamna kitu kinaitwa mashindano ya CAF, Kuna Cafcl na Cafcc

    Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'. Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni.. Mwambieni ache kupoteza watu maboya...
  6. Kwa wale ambao hamna maelewano mazuri na wazazi wenu

    Be warned, This post is strictly for God's Believers. If you'll find it useless, you're strongly advised not to provoke or outrage targeted Audiences. Natumaini nyote mko salama, and so do I. Tatizo la wa toto kutoku[patina na wazazi lipo sana, haijalishi ni mzazi wa kiume au wa kike wengi...
  7. M

    Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

    Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa. Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current...
  8. Tigo hamna special thread lakini nilitaka sema neno

    Kwa Sasa ni mwendo wa kopa weka kopa weka. Tena Sasa ni kopa nyingi weka kidgo najua mnapata sana Inaitwa hakuna namna. Maisha ni magum na lazima yaendelee. Tumuombee Rais Samia, Maisha sio poa. Mimi sio CHADEMA nilisikia wakuongea hiki kitu. Milo ni mi4 Kwa wiki trust me.. Mlo unaliwa saa...
  9. Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

    Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema: "Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema...
  10. Kelele za CHADEMA huko Twitter na mitandao ya kijamii mingine unaweza kudhani wanakubalika. Uraiani hamna lolote

    Na hiki ndio huwa kinawafanya wanaangukia pua, puuu. Uraiani hawakubaliki kabisa maana ndio kwenye uhalisia. Lakini wao wanakomaa kueneza propaganda njaa kwenye mitandao ya kijamii. Kura zikijakupigwa kiuhalisia wanabaki kusema wameibiwa.
  11. M

    Rais Samia, tuondolee huyu RC Amos Makalla mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla, amesema wahalifu wanaodaiwa kuwa Panyarodi waliovamia maeneo ya Bunju sio wakazi wa mkoa huo, kwani kazi ya kuwashughulikia wahalifu hao ilishaimaliza. Wahalifu hao wakiwa kundi la watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya wanane, walifika kwenye mtaa makazi...
  12. Wanawake punguzeni kuomba omba hela

    Hello. Watoto wa kike punguzeni tamaa ya hela. Hela tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iPhone macho matatum? Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani? Dhiki tunajua ipo jamani sio kitu cha kukiendekeza kabisa. Now days imekuwa ngumu kumtofautisha ombaomba na...
  13. Hamna kitu kibaya Kama harufu ya bahari, mzazi shtuka

    Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop. Ogopa mikoa ifuatayo Dar Pwani Lindi Mtwara Tanga Zanzibar Na mikoa ya jirani na hiyo.
  14. Hamna kiumbe cha Mungu chochote kilicho haramu, vyote vinaliwa Wala siyo dhambi!! Isipokuwa Usile damu tu!

    Habari wakuu!! Leo kuna madhehebu na dini zinadanya watu kuhusu kubagua vyakula mfano nguruwe nk kuwa ukila ni dhambi! Naomba niwatoe hofu kuwa sio dhambi wewe kuleni tu chochote kile kiwekacho mbele yako labda uwe hautumii tu lakini sio kwa maana ya kwamba ukitumia ni dhambi!! Uthibitisho kuwa...
  15. Shaka Hamdu Shaka: Nimezunguka nchi nzima, hakuna sehemu wanauza mchele Tshs. 3,500 kwa kilo

    Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa. Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo...
  16. Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

    Kwanini huwezi kujiunga na majeshi kama una tatoo? Kwanini huwezi kujiunga na upadre au uchungaji kama una tatoo? Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya. Mabinti wengi wenye...
  17. Kwanini Argentina hakuna watu weusi?

    Nauliza tu taifa hilo why halina watu weusi wakati mataifa jirani yao wamejaa tele.
  18. Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

    Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
  19. Hoja ya kwamba hamna Mungu muumba ni hoja Dhwaaif

    mbele yako akiwa na mwili wake unao jumuisha chembe (cells) takriban trilioni 37, na kila seli ina madaraja, viwanda, na mfumo tata wa kuweka misimbo ambao umefafanuliwa katika kanuni za urithi. Na anakutazama kwa macho yake ambayo yana mfumo tofauti wa kupiga picha wa rangi, kwa usahihi wa...
  20. Mliooa hamna tofauti na vizimba vya sokoni. Watu wazurulia humo

    Walioa bhana yaani kelele na kutikisa vitambi tu, hawatembei na vivuli vya wake zao. Wakiwa bar wao, mgahawani wao, lodge au gesti wao, ktmota wao, kuku wao, kwenye sebene wao. Jazeni vitu vya maana kwenye mafrifge zero, pigeni shoo za maana zero, kwenye sebene mnaenda na migebuka, mkirudi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…