Imeshawahi kukutokea umepata hamu ya kula chakula flani na huwezi kutulia mpaka ukipate? Imenitokea leo, usiku huu nimeanza kupika vitumbua vya nazi na iliki maana sijisikii kula kitu chochote zaidi ya hivi vitumbua.
Vipi ulishawahi kupata hamu kama hii? na ulikula nini kuituliza?
Njooni...