Ushauri nasahaa
Tunapitia mengi sana makanisani ukisikiliza mmmh
Kuna familia leo tulikuwa nayo wana tofauti kidogo kweli mwanaume kakiri mapungufu yake
Baada ya yotee tukabidi tutafute chanzo mwanaume akasema mkewe alianza kwenda kanisa moja la kilokole anarudi usiku
Mwisho akirudi...